Hebu sasa tuangalie vifaa vilivyotumika katika kutengenezea mavazi ya Kuhani Mkuu. Naivera ilikuwa ni kifaa cha ajabu katika mavazi yaliyovaliwa na Kuhani Mkuu. Hii naivera ilikuwa imefumwa kwa nyuzi za dhahabu, bluu, zambarau, na nyekundu na kitani safi ya kusokotwa. Hili vazi takatifu la Kuhani Mkuu lilitengenezwa na fundi stadi aliyezifuma na kuzitarizi hizo nyuzi tano.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Kifungu hiki kinaelezea juu ya nguzo, lango la pazia, mapazia ya kitani safi ya kusokotwa, mikanda, vishikizio, vikuku vya shaba, na vigingi vya shaba...
Kama tungeliingia ndani ya Mahali Patakatifu, ambapo ni Nyumba ya Mungu, kitu cha kwanza ambacho tungelikiona ni kinara cha taa, meza ya mikate ya...
Ni Kuhani Mkuu ndiye aliyetoa sadaka katika Siku ya Upatanisho kwa ajili ya watu wa Israeli. Sadaka hii ilitolewa mara moja kwa mwaka siku...