Mungu anatuonyesha nini kupitia kilemba hiki cha Kuhani Mkuu? Kilemba na yale mapambo yake vina maanisha kwamba Yesu Kristo alizichukua dhambi zetu zote kwa kupitia ubatizo wake alioupokea toka kwa Yohana Mbatizaji na kwa sababu hiyo amezisafishilia mbali dhambi zetu zote.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Hebu sasa tukiangalie kifuko cha kifuani ambacho Kuhani Mkuu alikitumia katika kuwahukumu watu wa Israeli. Kifungu cha maandiko hapo juu kinatueleza kuwa kifuko cha...
Kama tungeliingia ndani ya Mahali Patakatifu, ambapo ni Nyumba ya Mungu, kitu cha kwanza ambacho tungelikiona ni kinara cha taa, meza ya mikate ya...
Ni Kuhani Mkuu ndiye aliyetoa sadaka katika Siku ya Upatanisho kwa ajili ya watu wa Israeli. Sadaka hii ilitolewa mara moja kwa mwaka siku...