Ni Kuhani Mkuu ndiye aliyetoa sadaka katika Siku ya Upatanisho kwa ajili ya watu wa Israeli. Sadaka hii ilitolewa mara moja kwa mwaka siku ya kumi ya mwezi wa saba katika kalenda ya Kiisraeli. Katika siku hii, wakati Kuhani Mkuu Haruni alipotoa sadaka kwa niaba ya watu wa Israeli kwa ajili yao, basi maovu yao yote yalipitishwa kwenda kwa mwanasadaka huyu wa sadaka ya kuteketezwa na kisha kusafishiliwa mbali. Hivyo, Siku ya Upatanisho ilikuwa ni sikukuu kubwa kwa watu wa Israeli.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Ili mwenye dhambi yeyote kati ya watu wa Israeli aweze kuondolewa dhambi zake, basi ilimpasa kuleta mnyama wa sadaka ya kuteketezwa katika Hema Takatifu...
Wigo wa mstahili wa ua wa Hema Takatifu la Kukutania ulikuwa na dhiraa 100 kwa urefu. Katika Biblia, dhiraa moja ulikuwa ni urefu unaoanzia...
Leo hii hebu tuangalie katika kumsimika Kuhani Mkuu. Hapa tunaona kwamba Mungu alimwamuru Musa jinsi yay kumsimika Haruni na wanawe kwa kina. Neno “kusimika”...