Leo hii hebu tuangalie katika kumsimika Kuhani Mkuu. Hapa tunaona kwamba Mungu alimwamuru Musa jinsi yay kumsimika Haruni na wanawe kwa kina. Neno “kusimika” ambalo linaonekana kimaana katika aya ya 9 maana yake hi kufanya kitu kuwa kitakatifu, kuandaa, kuweka wakfu, kumheshimu, na kumchukulia mtu au kitu kama kitakatifu. Kwa maneno mengine, kusimikwa maana yake ni kutakaswa na kuwekwa wakfu kwa ajili ya kazi ya Mungu. Hivyo, “kusimikwa kama Kuhani Mkuu” maana yake ni “kuwekwa kando ili kupewa mamlaka na majukumu ya Kuhani Mkuu.” Mungu alimpatia Haruni pamoja na wanawe haki ya kuwa Kuhani Mkuu na ukuhani ambao ulimwezesha kuwapatia watu wake ondoleo la dhambi.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Hebu sasa tukiangalie kifuko cha kifuani ambacho Kuhani Mkuu alikitumia katika kuwahukumu watu wa Israeli. Kifungu cha maandiko hapo juu kinatueleza kuwa kifuko cha...
Kifungu hiki kinaelezea juu ya nguzo, lango la pazia, mapazia ya kitani safi ya kusokotwa, mikanda, vishikizio, vikuku vya shaba, na vigingi vya shaba...
Mbao zote za Hema Takatifu la Kukutania mahali ambapo Mungu alikaa zilikuwa zimefunikwa kwa dhahabu. Mungu alimwambia Musa kutengeneza vikuku vya fedha ili kuushikiza...