Ndani ya Hema Takatifu la Kukutania kulikuwa kumegawanyika katika sehemu kuu mbili: Mahali Patakatifu na Patakatifu pa Patakatifu. Kulikuwa na pazia kati ya sehemu hizo mbili, na Sanduku la Ushuhuda lilikuwa nyuma ya pazia hili na ndani ya Patakatifu pa Patakatifu. Mfuniko wa Sanduku la Ushuhuda unajulikana pia kwamba ni kiti cha rehema.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Hebu sasa tukiangalie kifuko cha kifuani ambacho Kuhani Mkuu alikitumia katika kuwahukumu watu wa Israeli. Kifungu cha maandiko hapo juu kinatueleza kuwa kifuko cha...
Mungu anatuonyesha nini kupitia kilemba hiki cha Kuhani Mkuu? Kilemba na yale mapambo yake vina maanisha kwamba Yesu Kristo alizichukua dhambi zetu zote kwa...
Kifungu hiki kinaelezea juu ya nguzo, lango la pazia, mapazia ya kitani safi ya kusokotwa, mikanda, vishikizio, vikuku vya shaba, na vigingi vya shaba...