HEMA TAKATIFU LA KUKUTANIA (III): Ubainisho wa Injili ya Maji na Roho

Je, tunawezaje kuupata ukweli uliofichika katika Hema Takatifu la Kukutania? Ni kwa kuifahamu injili ya Maji na Roho tu, ambayo ni kiini cha kweli cha Hema Takatifu la Kukutania, ndipo tunapoweza kufahamu kwa usahihi jibu ...more

Latest Episodes

7

January 24, 2023 00:55:46
Episode Cover

7. Vikombe Vya Mapambo Kwa Injili ya Maji na Roho (Kutoka 25:31-40)

Kifungu hiki kinaelezea juu ya kinara cha taa cha Hema Takatifu la Kukutania. Leo nitapenda kuelezea juu ya maana ya kiroho ya vikombe hivi...

Listen

8

January 24, 2023 00:55:35
Episode Cover

8. Maana za Kiroho Zilizofichika Katika Mavazi ya Kuhani Mkuu (Kutoka 28:1-43)

Leo tutakwenda kuangalia juu ya maana za kiroho zilizofichika katika mavazi ya Kuhani Mkuu. Haruni alipaswa kuyavaa mavazi haya pamoja na watoto wake. Kwa...

Listen

9

January 24, 2023 00:53:05
Episode Cover

9. Utakatifu Kwa Bwana (Kutoka 28:36-43)

Mungu anatuonyesha nini kupitia kilemba hiki cha Kuhani Mkuu? Kilemba na yale mapambo yake vina maanisha kwamba Yesu Kristo alizichukua dhambi zetu zote kwa...

Listen

10

January 24, 2023 01:01:59
Episode Cover

10. Kifuko cha Kifuani cha Hukumu (Kutoka 28:15-30)

Hebu sasa tukiangalie kifuko cha kifuani ambacho Kuhani Mkuu alikitumia katika kuwahukumu watu wa Israeli. Kifungu cha maandiko hapo juu kinatueleza kuwa kifuko cha...

Listen

11

January 24, 2023 00:50:49
Episode Cover

11. Sadaka ya Dhambi Ili Kumsimika Kuhani Mkuu (Kutoka 29:1-14)

Leo hii hebu tuangalie katika kumsimika Kuhani Mkuu. Hapa tunaona kwamba Mungu alimwamuru Musa jinsi yay kumsimika Haruni na wanawe kwa kina. Neno “kusimika”...

Listen

12

January 24, 2023 01:35:29
Episode Cover

12. Kuhani Mkuu Aliyetoa Sadaka Siku ya Upatanisho (Mambo ya Walawi 16:1-34)

Ni Kuhani Mkuu ndiye aliyetoa sadaka katika Siku ya Upatanisho kwa ajili ya watu wa Israeli. Sadaka hii ilitolewa mara moja kwa mwaka siku...

Listen